LETA HARUFU YA MWEA NYUMBANI KWAKO!
Unatafuta mchele wa Mwea Pishori ulio safi, wenye harufu ya kupendeza na usioshikana ukipikwa?
Arian Pure Mwea Pishori inakuletea Mwea Pishori 100% halisi kuanzia mashambani Mwea hadi meza yako hapa Mombasa!
100% Pure Grade-1 Mwea Pishori (Harufu ya kipekee)
KSh 200 pekee kwa Kg
FREE DELIVERY ndani ya Kongowea, Mombasa!
Usikubali kuuziwa mchele wa kuchanganya! Onja tofauti ya Mwea halisi leo.
Tunapatikana: Kongowea, Mombasa