tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Matumizi Mchanganyiko Inauzwa
Machakos, Masinga, Kivaa, 07/09
282 maoni

6 Acres Za Kulisha Kulima Kulisha Mbuzi,Ng'ombe

+1
10
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Bomba la maji taka
Vituo vya
199ac
Eneo la Ardhi
Partially Developed
Development Status
Gravel Road
Access Road
Hii shamba ni zuri kwa muwekeshaji WA MBUZI, NG'OMBE,kujenga na kulima,iko na maji ya meferegi from Masinga dam,stima iko next,km 1.5 from main Kaewa kyondoni road na 4km kutoka barabara kuu ya lami kanyonyoo kiritiri Embu road ,sehemu ya juu 15 acree inapanda mlima yenye nyasi na matawi zuri ya KULISHA MBUZI na kondoo.Sehemu ya chini kama acre 7 NI tabarare ya kujenga na kulima.Pia kuna MTO karibu uko na maji through out the year na neighbours wengi na soko ya Mukaa Scott mkt next... Karibu wakati wowote utembelee na ujionee Mwenyewe.Nambari ya simu
6 Acres Za Kulisha Kulima Kulisha Mbuzi,Ng'ombe6 Acres Za Kulisha Kulima Kulisha Mbuzi,Ng'ombe
KSh 250,000per Acre
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif